The following text field will produce suggestions that follow it as you type.

The Lost Sheep - Swahili Edition: Fundisho la Fumbo Yesu Katika Luka 15:3-7
The Lost Sheep - Swahili Edition: Fundisho la Fumbo Yesu Katika Luka 15:3-7

The Lost Sheep - Swahili Edition: Fundisho la Fumbo Yesu Katika Luka 15:3-7 in Bloomington, MN

Current price: $7.99
Loading Inventory...
Get it at Barnes and Noble

Size: Paperback

Get it at Barnes and Noble
Hili ni fundisho la Luka 15:3-7. Katika njia nyingi fumbo hili linahusu namna ya kuwa Mchungaji mwaminifu wa Kondoo wa Mungu.
Inafunua moyo wa Bwana Yesu kwa watu wake wa Thamani ambao wamepotea nji. Ni wito kwa wote ambao watasikia mafundisho yake kuusikia moyo wa Mungu kwa ajili ya wale mbao ushirika wao na furaha vimezuiliwa. Huduma ya kurejesha kondoo kwenye ushirika si kazi rahisi. Ni kwa mtu ambae, anapendezwa na moyo wa Mungu. Nina shawishika kuwa utajri wa Baraka zake zitakaa juu ya wale wanaoshiriki kujali kwake kwa ajili ya Kondoo waliokwenda mbali.
Powered by Adeptmind