Home
Mulwa Afufuka
Mulwa Afufuka
Current price: $15.99
Loading Inventory...
Size: Paperback
Jeneza lenye mwili wa Mulwa limeletwa mbele ya hadhira na kuwekwa jukwaani karibu na Pasta John. Ni kipi kitatokea? Soma mwenyewe upate uhondo. Edison Wanga ni mwalimu na mwandishi mzoefu. Amechapisha kazi kadhaa katika mashirika mbalimbali ya uchapishaji. Pia ameandika
ambacho kitachapishwa hivi karibuni na Phoenix Publishers Limited.